Mkuu mpya wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Meja Edward Flowin Gowele (kulia) leo Agosti 19, 2024 amekabidhiwa ofisi na Kanali Maulid Hassan Surumbu aliyehamishwa kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Kanali Surumbu na Meja Gowele katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa wilayani Tarime mbele ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
No comments:
Post a Comment