NEWS

Friday 18 October 2024

Mahafali ya 12 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Nyamisangura katika picha



Mgeni rasmi CEO wa Mara Online na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara, Jacob Mugini (mwenye skafu) akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa kidato cha nne wakati wa Mahafali ya 12 Shule ya Sekondari Nyamisangura iliyopo Halmashauri ya Mji wa Tarime jana Oktoba 17, 2024.
-------------------------------------------------


Mgeni rasmi CEO wa Mara Online, Jacob Mugini (mwenye tai) akipokewa na Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamisangura, Mwalimu Zakaria Kabengo (kulia) alipowasili kushiriki Mahafali ya 12 ya Kidato cha Nne jana. Nyuma ya Jacob ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo, Mchungaji John Maguge.
----------------------------------------------


Mgeni rasmi CEO wa Mara Online, Jacob Mugini akivishwa skafu mara baada ya kuwasili na kupokewa na uongozi wa Shule ya Sekondari Nyamisangura kushiriki Mahafali ya 12 ya Kidaro cha Nne jana.
------------------------------------------


Mgeni rasmi CEO wa Mara Online, Jacob Mugini akifurahia kuwasilisha hotuba yake katika Mahafali ya 12 ya Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Nyamisangura jana.
------------------------------------------


Mgeni rasmi CEO wa Mara Online, Jacob Mugini akikabidhi zawadi ya mipira kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyamisangura wakati wa Mahafali ya 12 ya Kidato cha Nne shuleni hapo jana. (Picha zote na Mara Online News)
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages