NEWS

Friday, 17 January 2025

Nyambari Nyangwine ndani ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa jijini Dodoma



Mfanyabiashara, mwandishi na mchapishaji wa vitabu maarufu nchini, Nyambari Nyangwine "Kada Mtiifu wa CCM" tayari ameshawasili kwenye ukumbi wa Kikwete jijini Dodoma leo Januari 18, 2025 kuhudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa chama hicho tawala, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. (Na Mpigapicha Wetu)

Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages