Maadhimisho Siku ya Ukimwi Duniani 2023: Mgodi wa Barrick North Mara wapongezwa, DC Tarime awataka watu kuepuka ngono zembe
Wananchi wakiwemo wanafunzi wakiwa kwenye foleni ya kupata huduma za kupima afya wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ...