Na Clonel Mwegendao, Serengeti
Watu sita leo wamenusurika katika ajali ya lori lenye namba za usajili
T 234 BYF lililokuwa likisafirisha pamba
ya wakulima kutoka kijiji cha Nyichoka wilayani Serengeti kuelekea Wilaya jirani ya Bunda mkoani Mara. Mwenyekiti
wa AMCOS JITEGEMEE NYICHOKA Magesa Marwa amesema lori hilo
lilikuwa limesheni tani 15 za pamba na
watu wote hao waliokuwa kwenye gari hilo
wameruhusiwa kutoka hospitali baada ya
hali zao kuendelea vizuri . MaraOnlinenews Updates
No comments:
Post a Comment