Kurasa hiyo ya Klabu ya As Roma itakuwa ikiandika habari zake kwa
lugha adhimu ya kiswahili.
Ukurasa huo wa lugha ya kiswahili
ulizinduliwa rasmi jana, na lengo kuu la ‘As Roma’kuanzisha ukurasa huo kwa
lugha ya Kiswahili ni kuwafikia mamilion
ya watu wanatumia lugha ya kiswahili
Akaunti hiyo imepokelewa vizuri na wasomaji
wa kiswahili wa Tanzania na Kenya.
No comments:
Post a Comment