NEWS

Monday 18 November 2019

HALMASHAURI YA TARIME YATOA MILIONI 360 KWA WAJASILIAMALI

Halmashauri ya Wilaya ya Tarime leo tarehe 18 Novemba 2019 imetoa mkopo wa shilingi milioni 360 kwa  vikundi 59 vya wajasiriamali 

 Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Mtemi Msafiri amekabidhi mkopo huo kwa wajasiliamali wanaonekana kwenye picha hapo juu katika hafla iliyofanyika katika Makao makuu mapya ya Halmashauri hiyo yalipo Nyamwaga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages