NEWS

Wednesday 20 November 2019

USHIRIKIANO WA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA KENYA WAENDELEA KUIMARIKA



 Balozi wa Tanzania nchini Kenya  Dkt Pindi Chana( pichani wapili kutoka kulia)leo Novemba 20,2019 amepokea wageni kutoka kampuni ya Kom Group of Companies Ltd iliyopo Kahama nchini Tanzania kwa lengo la kujenga ushirikiano wa kibiashara kati ya kampuni hiyo na kumpuni za Kenya.   # Mara Online News Updates.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages