NEWS

Friday, 3 March 2023

MNEC Joyce Mang’o kuwa mgeni rasmi wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani mkoani Kigoma kesho kutwa



MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama tawala - CCM, Joyce Ryoba Mang’o (pichani), anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani mkoani Kigoma kesho kutwa Mchi 6, 2023, yatakayofanyika sambamba na Kongamano la Kupinga Ukatili wa Kijinsia, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan - la kuutaka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kupinga vitendo vya ukatili na udhalilishaji watoto.

#Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages