NEWS

Friday 5 July 2024Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Mugini Jacob (kulia) akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa HAIPPA PLC, Boniface Ndengo kwenye Mdahalo wa Mara Bora kwa Uwekezaji na Kuishi unaofanyika katika Hoteli ya MK mjini Musoma leo Julai 5, 2024.

Mdahalo huo umeandaliwa na MRPC, ambapo mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages