Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, Marwa Daudi Ngicho (kulia) akimtambulisha kwa wananchi mgombea ubunge katika Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara (kushoto), muda mfupi baada ya Waitara kuchukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Jumapili Agosti 23, 2020. Kampeni za Uchaguzi Mkuu zitaanza nchini kote Agosti 26, 2020 na uchaguzi wenyewe utafanyika Oktoba 28, 2020.#MaraOnlineNews-updates
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment