NEWS

Thursday 12 September 2019

PORINI : MARA DAY NI FURSA KUBWA


Mwenyeketi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Juma Porini amesema  maadhimisho ya siku ya Mara 2019  ni fursa kubwa kwa wafanyabiashara wa mji wa Mji wa Mugumu.
  Tumeanza kupokea wageni wengi kutoka ndani na nje ya nchi , hii ni fursa kubwa kwa wafanyabiashara  wetu  kuuza bidhaa na huduma mbalimbali “, Porini  ameimbia Mara Online  News  ofisini kwake .
Mkuu wa Mkoa wa Mara(RC) Adam Malima amezindua maadhimisho hayo leo Septemba 12,2019 katika viwanja vya Sokoine .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages