Mjumbe wa Mkutano
Mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) taifa ndugu Gerald Martine leo ametoa bango la kisasa na
alama elekezi ili kusadia kutambulisha
ofisi za CCM Wilaya ya Tarime Mkoani
Mara.
Msaada huo
umepokelewa na Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime ndugu MKaruka kura.
Ndugu Martini ambaye ni kada wa miaka mingi wa
CCM amasema ametoa msaada huo ili kuboresha huduma zinazotolewa na chama hicho
kwa wanachama wake na wananchi kwa
ujumla.
Akiongea
baada ya kupokea msaada huo Katibu wa
CCM Wilaya yaTarime Ndg Hamisi Mkaruka Kura amesema uwepo wa bango hilo na alama
elekezi vitasadia kuboresha huduma kwa wanachama wa CCM na wananchi .
No comments:
Post a Comment