NEWS

Wednesday, 13 November 2019

TAIFA STARS KUJITUPA DIMBANI IJUMAA DHIDI YA EQUATORIAL GUINES
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itajitupa dimbani kumenyana na Equatorial Guinea Ijumaa hii kwenye mchezo wa kuwania kufuzu tiketi ya kuwania kushiriki michuano ya Afcon inayotarajiwa kufanyika 2021 nchini Cameroon.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages