NEWS

Saturday 16 November 2019

WATANO WAKAMATWA KWA MAUAJI YA MWALIMU TARIME


Vijana watano wanashikiliwa na  jeshi la polisi kutokana na mauaji ya mwalimu wa shule ya sekondari Itiryo, Justine Ogo ambaye aliuawa juzi, Kamanda wa Mkoa wa  kipolisi TarimeRorya(RPC) Henry Mwaibambe amesema katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo  Jumamosi asubuhi#Mara Online News Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages