Na Mwandishi wetu, Tarime
Watu Tisa wakiwemo
wafanyabiashara wa kuku leo Disemba 31 wamejeruhiwa baada ya banda la kuuza na kuhifadhi mbao lililopo ndani ya soko
kuu mjini Tarime kuanguka.
Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya Wilaya ya Tarime na zahanati ya SACHITA.
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Mtemi Msafiri na Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi TarimeRorya Henry Mwaibambe walifika katika eneo la tukio mara tu baada ya banda hilo kuanguka.
Amina
ReplyDelete