NEWS

Sunday 5 January 2020

WAJASIRIAMALI WA MARA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI

                       



Wajasiriamali wanaouza ndizi katika soko la Rebu  katika Halmashauri ya Mji wa Tarime  wamemshukuru  Rais Dkt John Magufuli kwa kuwapatia vitambulisho vya ujasiriamali. Wakiongea na Mara Online News leo Januari 5,2010 wajasirimali hao wamesema vitambulisho hivyo vimefanya kazi yao kuwa rahisi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages