NEWS

Wednesday 29 January 2020

ZIARA YA MKOA : NO 3 ACHANGIA MIFUKO YA SARUJI 100 UJENZI WA SHULE

 


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mara ametoa msaada wa mifuko ya Saruji  100 ili kuunga mkono wananchi wilayani Rorya katika ujenzi wa shule ya Sekondari Shirati Sota  wakati akiwa katika ziara ya kufatilia utekelezwaji wa ilani ya chama cha mapinduzi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages