NEWS

Monday 16 March 2020

DIWANI WA CHADEMA RORYA ATIMKIA CCM



Aliyekuwa diwani wa kata ya Kirogo wilayani Rorya  kupitia tiketi ya CHADEMA Justine Rugoye amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuacha nyadhifa zote alizokuwa nazo katika chama hicho kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ukosefu wa demokrasia na uongozi wa juu wa chama hicho kujali maslahi yao binafsi badala ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Rugoye ambaye alikuwa pia mjumbe wa baraza la mashauriano  mkoa wa Mara (CHADEMA),mjumbe baraza la uongozi kanda ya Serengeti,mjumbe wa baraza kuu la CHADEMA Taifa  na mjumbe  mkutano mkuu taifa CHADEMA amehamia CCM leo machi 16,2020                     # Mara Online Updates













No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages