NEWS

Thursday 19 March 2020

Corona ilivyotikisa UjerumaniKANSELA wa Ujerumani, Angela Markel Jumatano wiki hii(jana) alihutubia taifa la Ujerumani kwa njia ya TV na kuonekana kuguswa vikali na janga la Corona akisema ni changamoto ya pili baada ya vita vya pili vya Dunia.

“Mamilioni ya yenu hamwezi kwenda kazini, watoto wenu hawawezi kwenda shule au vituo vya kelea watoto, majumba ya simena na maduka yamefungwa”, alisema Bi Markel .

 Hadi leo Ujerumani ina wagonjwa wa Corona 11,000 na waliokufa kutokona na ujongwa huo hatari ni 28.
No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages