NEWS

Saturday 21 March 2020

Mwanamuziki Kenny Rodgers afariki dunia

Mwanamuziki maarufu wa Marekani Kenny Rodgers amefarki dunia akiwa na umri wa miaka 81 akiwa nyumbani kwake kutokana na visababishi vya kiasili( natural causes), taarifa ya familia yake imetangaza muda mfupi uliopita kifo cha Rodgers  kwa masikitiko  huku ikibainisha kuwa  hafla fupi ya mazishi inaandaliwa kutokan na janga la Coronavirus# Mara Online News updates 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages