NEWS

Saturday 4 April 2020

CCM YAIBOMOA CHADEMA TARIME


Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tarime Mwita Joseph na kundi la wananchama zaidi ya 50 wa chama hicho  leo Aprili 4,2020 wamehamia rasmi Chama Cha Mapinduzi( CCM) ambapo wamepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime Daudi Ngicho na viongozi mbalimbali wa CCM akiwemo Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mwita Waitara .

Waitara amesema wanachama hao wapya wa CCM wamefanya maamuzi sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages