NEWS

Wednesday 1 April 2020

CORONA yashambulia Kwaya maarufu ya watoto Ugandawatoto  wa kwaya maarufu nchini Uganda ya Watoto Childrens Choir ni miongoni mwa watu 11 zaidi waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya COVID-19 mara baada ya kurejea kutoka ughaibuni walikokuwa wameenda kutumbuiza.
 
Mara nyingi watoto kwaya hiyo hutumbuiza katika nchi za ughaibuni kama Marekani Canada na Uingereza

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages