NEWS

Wednesday 1 April 2020

Mvua yenye upepo mkali yaezua vyumba vya madarasa Tarime.Mvua iliyoambatana na upepop mkali imeezua upande mmoja wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Kiongera kata ya Susuni wilaya ya Tarime. #MaraOnlineNewsUpdates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages