NEWS

Friday 3 April 2020

OFISI YA MBUNGE YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA WANANCHI
Katibu wa mbunge jimbo la Tarime vijijini akikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi ikiwemo misumari kwa wananchi ambao nyumba zao ziliezuliwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali hivi karibuni katika vijiji  vya Nyamohonda na Kubiterere katika kata ya Mwema   #Mara Online news Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages