Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye
Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia
leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho
Buzirayombo Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale
Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia
Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani
Geita. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment