NEWS

Tuesday 21 July 2020

Waitara ang'ara kura za maoni Tarime Vijijini

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara ambaye pia ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, ameng'ara katika uchaguzi wa kura za maoni za kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Tarime Vijijini.

Katika uchaguzi huo uliofanyika mjini Tarime leo Jumanne Julai 21, 2020, Waitara ameshinda kwa kupata kura 291, akifuatiwa na James Bwire (135), Eliakim Maswi (128) na John Gimunta (74).#Mara Online News

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages