Kembaki aahidi maji safi Tarime Mjini, Waitara aonya wapinzani
Mgombea ubunge jimbo la Tarime Mjini, Michael Kembaki (CCM) akihutubia mkutano mkubwa wa wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni zake mjini...
Na Mwandishi Wetu, Mara Jackson Kangoye, Charles Mwera na Catherine Ruge, ni miongoni mwa wanasiasa waliochukua fomu za kugombea ubunge mkoa...