NEWS

Tuesday 25 August 2020

Komote arejesha fomu ya udiwani Nkende

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Nkende, Gaspar George (kushoto) akipokea fomu ya udiwani kutoka kwa Daniel Komote (katikati) leo Jumanne Agosti 25, 2020 kwa ajili ya kugombea udiwani wa kata hiyo. Kulia ni mke wa Komote, Modesta Mwita.
DANIEL Komote amerejesha fomu ya NEC leo Jumanne Agosti 25, 2020 kwa ajili ya kutetea kiti cha udiwani wa kata ya Nkende wilayani Tarime kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo atachuana na Charles Kisege wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.#MaraOnlineNews-updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages