NEWS

Tuesday 22 November 2022

Gachuma hakamatiki UNEC Mkoa wa Mara


Christopher Mwita Gachuma

Na Sauti ya Mara, Musoma
----------------------------------------

MWANASIASA na mfanyabiashara maarufu Kanda ya Ziwa, Christopher Mwita Gachuma (pichani), amefanikiwa kutetea nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (M-NEC) kupitia Mkoa wa Mara, katika uchaguzi uliofanyika mjini Musoma jana.

Gachuma alitangazwa mshindi wa nafasi hiyo baada ya kupata ushindi mnono wa kura 754 dhidi ya washindani wake watatu akiwemo Christopher Kangoye - ambao waligawana kura 312.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages