NEWS

Saturday 8 July 2023

Hivi ndivyo Mwenge wa Uhuru ulivyopokewa wilayani Rorya


Mkuu wa Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Juma Chikoka (kulia) akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Dkt Vincent Mashinji katika kijiji cha Ikoma, mapema asubuhi leo Julai 8, 2023. (Picha na Godfrey Marwa wa Mara Online News)

#Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages