Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Dkt Alufan Haule (wa pili kulia) akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Dkt Vicent Naano mapema leo asubuhi, tayari kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023, Abdalla Shaim Kaim kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya mabilioni ya fedha. (Picha na Mara Online News)
#Tunakuhabarisha Ukweli kwa Weledi
No comments:
Post a Comment