Ndege ndogo ambayo inamilikwa na kampuni ya Auric
Air imeua watu wawili baada kuanguka leo
asubuhi Septemba 2019 katika uwanja wa ndege wa Seronera ndani ya Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti(SENAPA), Shirika la
Hifadhi za Taifa(TANAPA) limedhibithisha kutokea kwa ajali hiyo kupitia
akaunti yake ya tweeter.
Rubani na abiria mmoja wamefariki dunia katika ajali hiyo ambayo imetokea saa moja
asubuhi wakati ndege hiyo ikiwa katika
harakati za kuruka# Mara Online update
No comments:
Post a Comment