NEWS

Tuesday 15 October 2019

HARMONIZE ATOA SHUKRANI KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.


Msanii wa Muziki wa Bongo fleva Harmonize ameishukuru Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa kumualika katika sherehe ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Kilele cha mbio za  Mwenge wa Uhuru yaliyofanyika Mkoani Lindi.

Harmonize ametoa pongezi kwa viongozi wote wa Serikali waliosimama kwa ishara ya upendo na kupendezwa na alichokifanya wakati akitumbuiza katika uwanja wa Ilulu.

"I don't play around when it's come to my beautiful country Tanzania. I was there to represent all Youth thanks again Mr President Doctor John Pombe Magufuli my number one supporter I'm grateful lakini pia kipekee kabisa nimshukuru mheshimiwa P.M. Kassim Majaliwa Kassim kwa kunipa molari na msisitizo nisipitwe na hili tukio ukizingatia sikuwa nchini Ila kwa uzito wa kauli yako na kuthamini uwepo wa Serikali yangu pendwa nilifanikiwa kuwahi."Alisema Harmonize




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages