NEWS

Tuesday 21 January 2020

KOMOTE ATOA VIFAA VYA OFISI NA BIMA YA AFYA KWA VIONGOZI NA WANANCHI


Katibu Tarafa Inchage Jonathan Machango akikabidhi vifaa vya ofisi na bima ya afya  kwa mmoja wa wenyeviti wa mitaa 16 vilivyotolewa na diwani wa kata ya Nkende Mheshimiwa Daniel Komote.#Mara Online News Update

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages