NEWS

Tuesday, 21 January 2020

UJENZI WA DARAJA DOGO WAANZA


Wakandarasi wa  barabara  wakiwa katika upimaji wa ujenzi wa daraja  dogo  katika kijiji cha Kwisalala  Kata ya Bumera, wilayani Tarime   Mkoani mara     chini ya usimamizi  wa Everson company Limited  mapema hii leo januari 21, 2020 #MaraOnlineNewsUpdates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages