NEWS

Wednesday 5 February 2020

SHEHENA YA TUMBAKU YAKAMATWA TARIME


Jeshi la polisi likishirkiana na maafisa wa kilimo Walayani Tarime leo February 5, 2020 limekamata lori aina Scania yenye namba za usajili T685ABH likiwa limesheheni tani 12 za tumbaku ambayo  ilikuwa inasafirishwa kwenda nchi jirani kinyume na utaratibu #MaraOnlineNewsUpdates.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages