Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhandisi Mtemi Msafiri leo ameshiriki hafla fupi ya kupata breakfast
pamoja na wanawake ambao ni wateja wa benki ya CRDB tawi la Tarime ambayo imeandaliwa kwa ajili ya wanawake hao kuadhimisha siku ya wanawake duniani mwaka huu # Mara Online News Updates
Updates.
No comments:
Post a Comment