NEWS

Sunday 8 March 2020

UKOSEFU WA TAULO ZA KIKE WAMGUSA DC SERENGETI
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akiendesha harambee ili kupata pesa kw ajili ya kununua taulo za kike  kwa wasichana wa shule ya msingi Masangura katika sherehe ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika leo Machi 8,2020 kiwilaya katika shule hiyo wilayani Serengeti mkoani Mara     #Mara online Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages