NEWS

Tuesday 10 March 2020

RORYA: KATA YA TAI YASOMA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM ,DC ASEMA NI KATA YA MFANO WA KUIGWAKata ya Tai iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara leo machi 2020 imewasilisha  taarifa ya utekelezaji wa ILANI ya chama cha mapinduzi (CCM) mbele ya mkutano mkuu wa utekelezaji wa ILANI kwa takribani miaka minne katika kata hiyo, taarifa hiyo ilijikita katika fedha kutoka serikali kuu kwa ajili ya miradi mbalimbali, fedha ya makusanyo ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali, fedha ya mfuko wa jimbo kutoka serikali kuu,fedha kutoka  mfukoni kwa mbunge na fedha kutoka kwa wananchi na sekta binafsi.   # Mara Online Updates


1 comment:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages