NEWS

Thursday 4 June 2020

Viongozi wa CCM na Chadema wakipiga stori


Tukikutana ni marafiki wakubwa. Ndivyo Mwenyekiti wa Halmashauri wa Wilaya ya Tarime, Moses Misiwa ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nyamwaga (Chadema), anavyoonekana kumwambia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye Nambatatu (katikati mwenye kofia yeusi)
wakati viongozi hao waliposhiriki katika mazishi ya  Aneth Batholomeo ambaye  ni mama mzazi wa wakurugenzi wa kampuni ya PKM akiwemo Pastory Batholomeo Machage yaliyofanyika Jumapili iliyopita, Nyamongo wilayani Tarime, Mara. Jirani na Misiwa kulia ni Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche  (Chadema). Naibu Waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara pia alihudhuria mazishi hayo. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages