NEWS

Thursday 16 July 2020

Mwita Waitara achukua fomu ubunge Tarime Vijijini

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara (aliyesimama), jana Julai 15, 2020 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) aweze kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Tarime Vijijini, mkoani Mara.#Mara Online News

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages