NEWS

Tuesday 6 October 2020

Waitara aunguruma Sombanyasoko

Mgombea ubunge jimbo la Tarime vijijini kwa tiketi ya CCM Mwita Waitara jana Jumatatu Oktoba 5,2020 alifanya kampeni katika kijiji cha Sombanyasoko , kata ya Komaswa ikiwa ni mwendelezo wa kuimarisha kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa  kufanyika Oktoba 28 mwaka huu.

Waitara  ambaye ni Naibu Waziri wa TAMISEMI  alipata fursa ya kukagua mradi wa choo shule katka ya msingi Nyasoko ilyopo katani hapo.

( Habari, picha na Mara Online News)

 


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages