NEWS

Saturday 6 March 2021

Mbunge Amsabi, DC Babu, maafisa elimu wapongeza wanafunzi na walimu Serengeti

 

Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, Mrimi Amsabi (aliyesimama) akizungumza katika hafla ya tathmini na kuwapongeza wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari jimboni humo kwa kufanya vizuri katika mitihani ya Taifa mwaka 2020. Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu (katikati mwenye shati la bluu) na viongozi mbalimbali wa elimu wilayani humo. (Na Pigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages