NEWS

Saturday 29 May 2021

Benki ya CRDB ilivyong'ara uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa MaraMeneja Biashara wa CRDB Kanda ya Ziwa, Japhary Hassanali (kulia), Meneja wa CRDB Tawi la Musoma, Marwa Solomon (wa pili kutoka kulia) na wafanyakazi wenzao wakifurahi baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuwakabidhi tuzo ya kutambua mchango wa benki hiyo uliosaidia kufanikisha uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mara mjini Musoma, jana Ijumaa Mei 28, 2021.


Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Ziwa, Lusingi Sitta akiwasilisha mada kwa washiriki wa hafla ya uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mara kwenye ukumbi wa Mwembeni Complex mjini Musoma, jana Ijumaa Mei 28, 2021. Mgeni Rasmi wa uzinduzi huo alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.


Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Ghati Zephania Chomete (kulia) na Mbunge wa Serengeti, Amsabi Mrimi wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mara kwenye ukumbi wa Mwembeni Complex mjini Musoma, jana Ijumaa Mei 28, 2021.

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages