Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Darasa la Saba 2025/2026 (PSLE) leo, tarehe 5 Novemba 2025, jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo ilitolewa na Prof. Said A. Mohamed, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA). Kulingana na ripoti iliyotolewa, jumla ya watahiniwa 937,581, sawa na asilimia 81.80 ya watahiniwa 1,146,164 wenye matokeo halali, wamefaulu mtihani huo.
Chanzo:Mabumbe

No comments:
Post a Comment