NEWS

Tuesday 11 May 2021

SAUTI YA MARA: Bingwa wa habari zinazoonesha fursa za utalii na umuhimu wa uhifadhi endelevu


VIONGOZI wa kijamii wakiwemo madiwani kutoka vijiji vilivyo jirani na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti upande wa Tarime Vijijini wakisoma kwa makini gazeti la Sauti ya Mara lenye habari zinazoonesha fursa za utalii katika maeneo yao na umuhimu wa uhifadhi endelevu wa wanyamapori kwa maendeleo endelevu, walipokutana katika semina ya utambulisho wa mpango mpya wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wa kuwapata mabalozi wa Hifadhi katika kila kijiji kilicho jirani, iliyofanyika katani Nyamwaga, jana Mei 11, 2021. (Picha na Sauti ya Mara)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages