NEWS

Wednesday 6 October 2021

Mwandishi wa habari Makongo hatunaye tenaMwandishi wa habari mwandamizi wa mkoani Mara, Ahmed
Makongo amefariki dunia.

Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Raphael Okello, Makongo ameaga dunia gafla usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2021 nyumbani kwake Mjini Bunda.

Hadi umauti unamfika Makongo alikua akiripotia vyombo vya habari mbalimbali hapa nchini yakiwemo magazeti na radio.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages