TIMU ya wataalamu wa Wizara ya Maji, iliyoundwa na Katibu Mkuu, Mhandisi Anthony Sanga, tayari imewasili na kuanza kazi ya ukarabati mkubwa wa mradi wa maji wa Makonde wilayani Newala.
Wataalamu hao ni wabobezi katika maeneo ya mitambo na mfumo umeme.
Wataalamu hao ni wabobezi katika maeneo ya mitambo na mfumo umeme.
Katibu Mkuu, Mhandisi Sanga ameunda timu hiyo mapema wiki hii, baada ya kukagua mradi huo na kubaini masuala ya kiufundi yanayohitaji ufumbuzi haraka, ili kuimarisha huduma ya majisafi kwa wananchi.
“MaraOnlineNews-Updates
“MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment