NEWS

Friday 10 June 2022

Katibu CCM Tarime avutiwa na weledi wa gazeti la Sauti ya Mara



Katibu wa chama tawala - CCM Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Valentine Maganga (kulia) akifurahia kupitia habari motomoto leo kwenye gazeti la Sauti ya Mara toleo la wiki hii, alipotembelewa ofisini kwake na Mhariri Mtendaji wa gazeti hilo, Mugini Jacob.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages